Social Icons

Monday, November 28, 2011

TUSKER CHALLENGE CUP 2011 ETHIOPIA vs SUDAN WATOKA SARE

Alula Girma wa timu ya taifa ya Ethiopia(kulia) akichuana na Abuelgasim Saeed wa timu ya taifa ya Sudan wakati wa mchezo wao wa michuano ya kombe la TUSKER CHALLENGE CUP 2011 uliofanyika kuanzia saa nane mchana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na timu hizo kutoka sare ya magoli 1-1 (Picha na Mohammed Mambo).

No comments:

 
 
Blogger Templates