Social Icons

Monday, November 28, 2011

IBADA YA KUOMBEA MAPADRI WALIOFARIKI KWA AJALI YA GARI RUVU YAFANYIKA LEO

 Camera ya Bongoweekend.blogspot ilifanikiwa kupata picha ya gari  ambalo walipanda Mapadri  hao ambao walikuwa raia wa Italy na kukatisha uhai wao baada ya kupata ajali ya kugongana na Lori Maeneo Ruvu  Kibaha Mkoani Pwani.
Baadhi ya waumini walioshirki katika Ibada ya kuwaombea Mapadri waliofariki katika ajali ya gari eneo la Ruvu kwa Zoka mapema Jumanne iliyopita.Ibada hiyo lifanyika leo katika Parokia ya Pugu jijini Dar es salaam. Serikali iliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe.
( Picha na Assah Mwambene).

No comments:

 
 
Blogger Templates