Social Icons

Friday, October 22, 2010

MAMA AKIANDAA POMBE AINA YA KOMONI

Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Izia Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga akikoroga pombe ya kienyeji aina ya Komoni inayotengenezwa kwa kutumia Mahindi, hapa akiiandaa kwa ajili ya wateja wake na hivi ndivyo inavyoandaliwa, Pombe hiyo inapokamilika huuzwa na kutoa kiasi cha shilingi 24,000 kwa pipa moja kama hili lakini utengenezaji wa pombe kama huu ni hatari kwa usalama wa afya na upngufu wa chakula.
Mdau hebu cheki hapa juu ukichunguza zaidi unaweza usiitumie, lakini kumbuka ule uesemi wa 'Ukimchunguza sana Kuku Huwezi kumla'....(Picha na Sufiani Mafotoblog).

No comments:

 
 
Blogger Templates